Home » NYIMBO MPYA 2025 » VIDEO Lyric | Zuchu – Antenna

VIDEO Lyric | Zuchu – Antenna

VIDEO Lyric Zuchu – Antenna

VIDEO Lyric | Zuchu – Antenna

 

 

Lyrics
Antenna Lyrics

#INTRO

Aah pablo ukigusa biti nashtuka

Naona kama napanda mizuka

Na kichani ishanijaa chupa

Aah pablo ukigusa biti nashtuka

Naona kama napanda mizuka

Na kichani ishanijaa chupa

#CHORUS

Lazima irudiwe sababu nnataka tena

We hili goma noma limenkuna kwenye mtima

Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema

Kwanza mnipepee nina jasho mwili mzima haya sasa

Vidaleki antenaaa (Zungusha antennaaa)

Vidaleki antennaaa (Zungusha Antenna)

Vidaleki antennaaa (Zungusha antennaaa)

Vidaleki antennaaa (Zungusha Antenna)

Ayaaaa ayaaaaa ayaaa ayaaaa

 

#VERSE

Eh piano iyo iiiih piano iyo aah

Na biti la lg bana linanoga

Piano iyo iiiih piano iyo aah

Na biti la lg bana linanoga

Ebu kwanza tucheze munike

Mwite yule aje akatike

Ashurey ndo atetemeke

Nzowa mkono upande ushuke

Twende vimacho we nipe vimacho

Haya vimacho tikisa vimacho

Twende vimacho we nipe vimacho

Haya vimacho tikisa ayaa

#CHORUS

Lazima irudiwe sababu nnataka tena

We hili goma noma limenkuna kwenye mtima

Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema

Kwanza mnipepee nina jasho mwili mzima haya sasa

Haya sasa Vidaleki antenaaa (Zungusha antennaaa)

Vidaleki antennaaa (Zungusha Antenna)

Vidaleki antennaaa (Zungusha antennaaa)

Vidaleki antennaaa (Zungusha Antenna)

Ayaaaa ayaaaaa ayaaa ayaaaa

#OUTRO

Aah pablo ukigusa biti nashtuka

Naona kama napanda mizuka

Na kichani ishanijaa chupa

Aaah

https://xxltz.xyz/2024/10/16/audio-zuchu-antenna-download-mp3/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *