AUDIO | Macvoice Ft Rayvanny – Muongeze | Download Mp3
Lyrics
Muongeze – Macvoice
Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kret muongeze
Muongeze muongeze
Anataka hennesy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kret muongeze
Muongeze muongeze
Muongeze muongeze muongeze muongeze (shapshap)
Muongeze muongeze muongeze
Huyo ex umemtukana akomi
Akipiga tena (muongeze)
Si alichezea block anachezea block kama akitaka block (muongeze)
Dada ukiwa gogo chumbani utaambulia soda tu
Ila ukitaka gari na pesa akitaka ata mara kumi (muongeze)
Hela ya salon (Muongeze)
Ata ya vikoba (muongeze)
Akikupa utamu mlipe na nauli ya bodaboda (muongeze)
Hapa hakuna cha buree
Hauna hela kalale we msukule
Hapa hakuna cha buree
Kakojoe kalale kesho shule
Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kret muongeze
Muongeze muongeze
Anataka hennesy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kret muongeze
Muongeze muongeze
Muongeze muongeze muongeze muongeze (shapshap)
Muongeze muongeze muongeze
Kakuibia bwana wako ilo kofi halimtoshi (muongeze)
Ukimroga ana kuonga dawa shost (muongeze)
Sura nzuri umepewa na mama yako
Kata ticket uturuk hayo mata…..(muongeze)
Miuno kogo(muongeze)
Kulamba mkongojo (muongeze)
Akikuchiti na dada mweupe hiyo mikorogo(muongeze)
Hapa hakuna cha buree (kwendraa babu)
Hauna hela kalale we msukule
Hapa hakuna cha buree
Kakojoe kalale kesho shule
Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kret muongeze
Muongeze muongeze
Anataka hennesy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kret muongeze
Muongeze muongeze
Muongeze muongeze muongeze muongeze (shapshap)
Muongeze muongeze muongeze
Hatuondoki hatuondoki ng’oo
Yani bila mademu humu ndani hatutoki ng’oo
Hatuondoki hatuondoki ng’oo
Yani bila kulewa humu ndani hatutoki ng’oo
Leave a Reply