Author: admin

Mambo 7 ambayo utayapata ukila Mayai ( MAKALA ) Mayai yana wingi wa protini,ni vizuri kutumia mayai kwa kujenga mwili wako. Haya ndio mambo yatakayo tokea katika mwili wako ukila mayai; 1. Inapunguza matatizo ya moyo Japo mayai yanaweza kuongeza choresterol kwa baadhi ya watu ila utafiti unaonyesha ulaji wa mayai una uwezo mkubwa wa kufyeka hatari ya kupata matatizo ya mishipa ya moyo 2. Inaongeza Kinga ya mwili Ukitaka uwe mbali na maambuki ya bacteria au virusi,tumia yai kwa kila mlo. Yai moja lina asilimia 22 ya RDA ya Selenium, virutubisho vinavyosaidia na kuongeza kinga ya mwili 3. Inarekebisha…

Read More

Mambo 9 ya kuzingatia ili uishi maisha marefu ( MAKALA ) Kuishi ukiwa na afya na kuishi maisha marefu kunawezekana kwa kubadili hali ya maisha unayoishi inayoharibu afya yako mfano uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi, kutokufanya mazoezi na kutokula matunda na mbogamboga. Mambo yanayoweza kukusaidia kuishi maisha marefu ni kama yafuatayo 1. Kuuandaa mwili kwa maisha marefu kwa kufanya mazoezi 2. Kuwa makini kutambua na kutibu matatizo ya kiafya 3. Kuepuka mazingira na kufanya kazi kwa namna au kazi zinazoweza kudhuru maisha yako. Mfano kuendesha gari bila kufuata utaratibu, kutokuvaa vifaa vya kujikinga wakati wa kazi 4.…

Read More