Author: admin

Audio | Diamond Platnumz – Best Of mixng Tape By Dj StarBoy The gifted vocalist grew up in , Tanzania, and became an artist simply because music has always pursued him, as evidenced by his musical abilities. Diamond Platnumz confesses his eternal love for his girl, praising her and expressing his strong wish not to let her leave. DJ StarBoy’s outstanding input to the lyric enhances it even more. Finally, the music is produced by Runtinz, and mixed and mastered by Milla Mix. Furthermore, this new song is truly wonderful and deserves to be on your Playlist. Listen and share your thought…

Read More

Njia 8 zitakazo kuonesha kwamba mwanamke uliye naye atakusaidia kuleta mafanikio katika ndoa yako Katika moja ya Interview ambayo Barack Obama alifanya na jarida la “Black Enterprise Magazine” la nchini Marekani, muandishi alimuuliza kuhusiana na hali ya uchumi ya Marekani. Aliulizwa, “Bwana Obama, Je una hofu juu ya hali ya uchumi wa Marekani inavyoenda?” Ambapo Obama alijibu, “Hapana, sihofii uchumi wa Marekani, nina hofu na mke wangu..kwa sababu ana idea nyingi kichwani mwake mpaka nashangaa” Hivyo, kama unae mwanamke anaekutia moyo ufanye vizuri zaidi. Huyo mwanamke ni keeper, kama hujamuoa, basi anastahili pete kidoleni kwake. Hapa chini nimeelezea njia NANE…

Read More