Mambo 9 ya kuzingatia ili uishi maisha marefu ( MAKALA )

Mambo 9 ya kuzingatia ili uishi maisha marefu ( MAKALA )

Kuishi ukiwa na afya na kuishi maisha marefu kunawezekana kwa kubadili hali ya maisha unayoishi inayoharibu afya yako mfano uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi, kutokufanya mazoezi na kutokula matunda na mbogamboga.

Mambo yanayoweza kukusaidia kuishi maisha marefu ni kama yafuatayo

1. Kuuandaa mwili kwa maisha marefu kwa kufanya mazoezi

2. Kuwa makini kutambua na kutibu matatizo ya kiafya

3. Kuepuka mazingira na kufanya kazi kwa namna au kazi zinazoweza kudhuru maisha yako. Mfano kuendesha gari bila kufuata utaratibu, kutokuvaa vifaa vya kujikinga wakati wa kazi

4. Epuka vitu vyenye sumu vinavyoweza kudhuru afya yako na kukuletea matatizo ya kiafya kama dawa za mimea na mifugo, zitumie kama inavyotakiwa

5. Usinywe pombe, usivute sigara wala kutumia dawa za kulevya

6. Kula mlo kamili

7. Usile vyakula vyenye chumvi na mafuta mengi

8. Kunywa maji mengi ili kusafisha mwili

9. Epuka msongo wa mawazo

 

Do you find NYIMBO MPYA 2023 useful? Click here to give us five stars rating!

More

Join the Discussion

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*